Native Bible

Genesis 13:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

hapo ambapo alikuwa amejenga madhabahu ya kwanza. Huko Abramu akaliitia jina la Bwana.

Genesis 13:4 in English

Genesis 13:4 · Berean Standard Bible

to the site where he had built the altar. And there Abram called on the name of the LORD.

Context

2Wakati huo Abramu alikuwa tajiri sana wa mifugo, fedha na dhahabu. 3Kutoka Negebu, akapita mahali hadi mahali, hadi akafika Betheli, mahali hapo ambapo mwanzoni alipiga hema lake kati ya Betheli na Ai 4hapo ambapo alikuwa amejenga madhabahu ya kwanza. Huko Abramu akaliitia jina la Bwana. 5Basi Loti, ambaye alikuwa anafuatana na Abramu, alikuwa pia na makundi ya mbuzi, kondoo, ngʼombe na mahema. 6Lakini nchi haikuwatosha kukaa pamoja kwa ajili ya wingi wa mali zao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.