Mwanzo 13:2
Genesis 13:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati huo Abramu alikuwa tajiri sana wa mifugo, fedha na dhahabu.
Genesis 13:2 in English
Genesis 13:2 · Berean Standard Bible
And Abram had become extremely wealthy in livestock and silver and gold.
Context
1Hivyo Abramu akakwea kutoka Misri kwenda Negebu, yeye na mkewe na kila kitu alichokuwa nacho, pia Loti akaenda pamoja naye. 2Wakati huo Abramu alikuwa tajiri sana wa mifugo, fedha na dhahabu. 3Kutoka Negebu, akapita mahali hadi mahali, hadi akafika Betheli, mahali hapo ambapo mwanzoni alipiga hema lake kati ya Betheli na Ai 4hapo ambapo alikuwa amejenga madhabahu ya kwanza. Huko Abramu akaliitia jina la Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.