Mwanzo 13:1
Genesis 13:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo Abramu akakwea kutoka Misri kwenda Negebu, yeye na mkewe na kila kitu alichokuwa nacho, pia Loti akaenda pamoja naye.
Genesis 13:1 in English
Genesis 13:1 · Berean Standard Bible
So Abram went up out of Egypt into the Negev—he and his wife and all his possessions—and Lot was with him.
Context
1Hivyo Abramu akakwea kutoka Misri kwenda Negebu, yeye na mkewe na kila kitu alichokuwa nacho, pia Loti akaenda pamoja naye. 2Wakati huo Abramu alikuwa tajiri sana wa mifugo, fedha na dhahabu. 3Kutoka Negebu, akapita mahali hadi mahali, hadi akafika Betheli, mahali hapo ambapo mwanzoni alipiga hema lake kati ya Betheli na Ai
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.