Native Bible

Genesis 13:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ondoka, tembea katika marefu na mapana ya nchi, kwa maana ninakupa wewe.”

Genesis 13:17 in English

Genesis 13:17 · Berean Standard Bible

Get up and walk around the land, through its length and breadth, for I will give it to you.”

Context

15Nchi yote unayoiona nitakupa wewe na uzao wako hata milele. 16Nitaufanya uzao wako uwe mwingi kama mavumbi ya nchi, hivyo kama kuna yeyote awezaye kuhesabu mavumbi, basi uzao wako utahesabika. 17Ondoka, tembea katika marefu na mapana ya nchi, kwa maana ninakupa wewe.” 18Basi Abramu akaondoa mahema yake, akaenda kuishi karibu na mialoni ya Mamre huko Hebroni, huko akamjengea Bwana madhabahu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.