Native Bible

Genesis 13:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi Abramu akaondoa mahema yake, akaenda kuishi karibu na mialoni ya Mamre huko Hebroni, huko akamjengea Bwana madhabahu.

Genesis 13:18 in English

Genesis 13:18 · Berean Standard Bible

So Abram moved his tent and went to live near the Oaks * of Mamre at Hebron, where he built an altar to the LORD.

Context

16Nitaufanya uzao wako uwe mwingi kama mavumbi ya nchi, hivyo kama kuna yeyote awezaye kuhesabu mavumbi, basi uzao wako utahesabika. 17Ondoka, tembea katika marefu na mapana ya nchi, kwa maana ninakupa wewe.” 18Basi Abramu akaondoa mahema yake, akaenda kuishi karibu na mialoni ya Mamre huko Hebroni, huko akamjengea Bwana madhabahu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.