Mwanzo 13:15
Genesis 13:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nchi yote unayoiona nitakupa wewe na uzao wako hata milele.
Genesis 13:15 in English
Genesis 13:15 · Berean Standard Bible
for all the land that you see, I will give to you and your offspring forever.*
Context
13Basi watu wa Sodoma walikuwa waovu, wakifanya sana dhambi dhidi ya Bwana. 14Baada ya Loti kuondoka Bwana akamwambia Abramu, “Ukiwa hapo ulipo, inua macho yako utazame kaskazini na kusini, mashariki na magharibi. 15Nchi yote unayoiona nitakupa wewe na uzao wako hata milele. 16Nitaufanya uzao wako uwe mwingi kama mavumbi ya nchi, hivyo kama kuna yeyote awezaye kuhesabu mavumbi, basi uzao wako utahesabika. 17Ondoka, tembea katika marefu na mapana ya nchi, kwa maana ninakupa wewe.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.