Native Bible

Genesis 11:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini Bwana akashuka ili auone mji na mnara ambao wanadamu waliokuwa wanaujenga.

Genesis 11:5 in English

Genesis 11:5 · Berean Standard Bible

Then the LORD came down to see the city and the tower that the sons of men were building.

Context

3Wakasemezana wao kwa wao, “Njooni, tufyatue matofali na tuyachome vizuri kwa moto.” Walitumia matofali badala ya mawe, na lami kwa ajili ya kushikamanishia hayo matofali. 4Ndipo wakasema, “Njooni, tujijengee mji wenye mnara ambao utafika hadi mbinguni, ili tujipatie jina tusije tukatawanyika usoni pa dunia yote.” 5Lakini Bwana akashuka ili auone mji na mnara ambao wanadamu waliokuwa wanaujenga. 6Bwana akasema, “Ikiwa kama taifa moja wanaozungumza lugha moja wameanza kufanya hili, basi hakuna lolote watakalopanga kufanya ambalo halitawezekana kwao. 7Njooni, tushuke tuvuruge lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.