Native Bible

Genesis 11:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Njooni, tushuke tuvuruge lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.”

Genesis 11:7 in English

Genesis 11:7 · Berean Standard Bible

Come, let Us go down and confuse their language, so that they will not understand one another’s speech.”

Context

5Lakini Bwana akashuka ili auone mji na mnara ambao wanadamu waliokuwa wanaujenga. 6Bwana akasema, “Ikiwa kama taifa moja wanaozungumza lugha moja wameanza kufanya hili, basi hakuna lolote watakalopanga kufanya ambalo halitawezekana kwao. 7Njooni, tushuke tuvuruge lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.” 8Hivyo Bwana akawatawanya kutoka mahali pale kwenda katika dunia yote, nao wakaacha kuujenga huo mji. 9Ndiyo maana pakaitwa Babeli, kwa sababu hapo ndipo Bwana alipoivuruga lugha ya dunia nzima. Kutoka hapo Bwana akawatawanya katika uso wa dunia yote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.