Mwanzo 11:8
Genesis 11:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo Bwana akawatawanya kutoka mahali pale kwenda katika dunia yote, nao wakaacha kuujenga huo mji.
Genesis 11:8 in English
Genesis 11:8 · Berean Standard Bible
So the LORD scattered them from there over the face of all the earth, and they stopped building the city.
Context
6Bwana akasema, “Ikiwa kama taifa moja wanaozungumza lugha moja wameanza kufanya hili, basi hakuna lolote watakalopanga kufanya ambalo halitawezekana kwao. 7Njooni, tushuke tuvuruge lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.” 8Hivyo Bwana akawatawanya kutoka mahali pale kwenda katika dunia yote, nao wakaacha kuujenga huo mji. 9Ndiyo maana pakaitwa Babeli, kwa sababu hapo ndipo Bwana alipoivuruga lugha ya dunia nzima. Kutoka hapo Bwana akawatawanya katika uso wa dunia yote. 10Hivi ndivyo vizazi vya Shemu.
Miaka miwili baada ya gharika, Shemu alipokuwa na miaka 100, akamzaa Arfaksadi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.