Mwanzo 10:31
Genesis 10:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hao ndio wana wa Shemu kwa koo zao na lugha zao, katika nchi zao na mataifa yao.
Genesis 10:31 in English
Genesis 10:31 · Berean Standard Bible
These are the sons of Shem, according to their clans, languages, lands, and nations.
Context
29Ofiri, Havila na Yobabu. Hawa wote walikuwa wana wa Yoktani. 30Nchi waliyoishi ilienea toka Mesha kuelekea Sefari kwenye nchi ya vilima iliyoko mashariki. 31Hao ndio wana wa Shemu kwa koo zao na lugha zao, katika nchi zao na mataifa yao. 32Hizi ndizo koo za wana wa Noa, kufuatana na vizazi vyao, katika mataifa yao. Kutokana na hawa mataifa yalienea duniani kote baada ya gharika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.