Native Bible

Genesis 10:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hizi ndizo koo za wana wa Noa, kufuatana na vizazi vyao, katika mataifa yao. Kutokana na hawa mataifa yalienea duniani kote baada ya gharika.

Genesis 10:32 in English

Genesis 10:32 · Berean Standard Bible

All these are the clans of Noah’s sons, according to their generations and nations. From these the nations of the earth spread out after the flood.

Context

30Nchi waliyoishi ilienea toka Mesha kuelekea Sefari kwenye nchi ya vilima iliyoko mashariki. 31Hao ndio wana wa Shemu kwa koo zao na lugha zao, katika nchi zao na mataifa yao. 32Hizi ndizo koo za wana wa Noa, kufuatana na vizazi vyao, katika mataifa yao. Kutokana na hawa mataifa yalienea duniani kote baada ya gharika.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.