Native Bible

Genesis 10:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ofiri, Havila na Yobabu. Hawa wote walikuwa wana wa Yoktani.

Genesis 10:29 in English

Genesis 10:29 · Berean Standard Bible

Ophir, Havilah, and Jobab. All these were sons of Joktan.

Context

27Hadoramu, Uzali, Dikla, 28Obali, Abimaeli, Sheba, 29Ofiri, Havila na Yobabu. Hawa wote walikuwa wana wa Yoktani. 30Nchi waliyoishi ilienea toka Mesha kuelekea Sefari kwenye nchi ya vilima iliyoko mashariki. 31Hao ndio wana wa Shemu kwa koo zao na lugha zao, katika nchi zao na mataifa yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.