Mwanzo 10:27
Genesis 10:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hadoramu, Uzali, Dikla,
Genesis 10:27 in English
Genesis 10:27 · Berean Standard Bible
Hadoram, Uzal, Diklah,
Context
25Eberi akapata wana wawili:
Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake ndipo dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani. 26Yoktani alikuwa baba wa:
Almodadi, Shelefu, Hasarmawethi, Yera, 27Hadoramu, Uzali, Dikla, 28Obali, Abimaeli, Sheba, 29Ofiri, Havila na Yobabu. Hawa wote walikuwa wana wa Yoktani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.