Mwanzo 1:17
Genesis 1:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mungu akaiweka katika nafasi ya anga iangaze dunia,
Genesis 1:17 in English
Genesis 1:17 · Berean Standard Bible
God set these lights in the expanse of the sky to shine upon the earth,
Context
15nayo iwe mianga kwenye nafasi ya anga ya kutia nuru juu ya dunia.” Ikawa hivyo. 16Mungu akafanya mianga miwili mikubwa: mwanga mkubwa utawale mchana, na mwanga mdogo utawale usiku. Pia Mungu akafanya nyota. 17Mungu akaiweka katika nafasi ya anga iangaze dunia, 18itawale usiku na mchana, na ikatenganishe nuru na giza. Mungu akaona kuwa hili ni jema. 19Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya nne.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.