Native Bible

Genesis 1:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

nayo iwe mianga kwenye nafasi ya anga ya kutia nuru juu ya dunia.” Ikawa hivyo.

Genesis 1:15 in English

Genesis 1:15 · Berean Standard Bible

And let them serve as lights in the expanse of the sky to shine upon the earth.” And it was so.

Context

13Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya tatu. 14Mungu akasema, “Iwepo mianga kwenye nafasi ya anga ili itenganishe usiku na mchana, nayo iwe alama ya kutambulisha majira mbalimbali, siku na miaka, 15nayo iwe mianga kwenye nafasi ya anga ya kutia nuru juu ya dunia.” Ikawa hivyo. 16Mungu akafanya mianga miwili mikubwa: mwanga mkubwa utawale mchana, na mwanga mdogo utawale usiku. Pia Mungu akafanya nyota. 17Mungu akaiweka katika nafasi ya anga iangaze dunia,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.