Native Bible

Genesis 1:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya nne.

Genesis 1:19 in English

Genesis 1:19 · Berean Standard Bible

And there was evening, and there was morning—the fourth day.

Context

17Mungu akaiweka katika nafasi ya anga iangaze dunia, 18itawale usiku na mchana, na ikatenganishe nuru na giza. Mungu akaona kuwa hili ni jema. 19Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya nne. 20Mungu akasema, “Kuwepo na viumbe hai tele kwenye maji, nao ndege waruke juu ya dunia katika nafasi ya anga.” 21Kwa hiyo Mungu akaumba viumbe wakubwa wa baharini na kila kiumbe hai kiendacho majini kulingana na aina zake, na kila ndege mwenye mabawa kulingana na aina yake. Mungu akaona kuwa hili ni jema.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.