Wagalatia 6:9
Galatians 6:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo, tusichoke katika kutenda mema, kwa kuwa tutavuna kwa wakati wake tusipokata tamaa.
Galatians 6:9 in English
Galatians 6:9 · Berean Standard Bible
Let us not grow weary in well-doing, for in due time we will reap a harvest if we do not give up.
Context
7Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi. Kwa kuwa kile apandacho mtu ndicho atakachovuna. 8Apandaye kwa mwili, katika mwili wake atavuna uharibifu, lakini yeye apandaye katika Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele. 9Hivyo, tusichoke katika kutenda mema, kwa kuwa tutavuna kwa wakati wake tusipokata tamaa. 10Kwa hiyo, kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema, hasa wale wa jamaa ya waaminio. 11Angalieni herufi kubwa nitumiazo ninapowaandikia kwa mkono wangu mwenyewe!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.