Native Bible

Galatians 6:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi. Kwa kuwa kile apandacho mtu ndicho atakachovuna.

Galatians 6:7 in English

Galatians 6:7 · Berean Standard Bible

Do not be deceived: God is not to be mocked. Whatever a man sows, he will reap in return.

Context

5Kwa maana, kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe. 6Basi, yeye afundishwaye katika neno na amshirikishe mwalimu wake mema yote. 7Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi. Kwa kuwa kile apandacho mtu ndicho atakachovuna. 8Apandaye kwa mwili, katika mwili wake atavuna uharibifu, lakini yeye apandaye katika Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele. 9Hivyo, tusichoke katika kutenda mema, kwa kuwa tutavuna kwa wakati wake tusipokata tamaa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.