Wagalatia 6:5
Galatians 6:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana, kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe.
Galatians 6:5 in English
Galatians 6:5 · Berean Standard Bible
For each one should carry his own load.
Context
3Kama mtu yeyote akijiona kuwa yeye ni bora na kumbe sivyo, basi mtu huyo anajidanganya mwenyewe. 4Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe, ndipo aweze kujisifu, bila kujilinganisha na mtu mwingine. 5Kwa maana, kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe. 6Basi, yeye afundishwaye katika neno na amshirikishe mwalimu wake mema yote. 7Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi. Kwa kuwa kile apandacho mtu ndicho atakachovuna.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.