Wagalatia 6:4
Galatians 6:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe, ndipo aweze kujisifu, bila kujilinganisha na mtu mwingine.
Galatians 6:4 in English
Galatians 6:4 · Berean Standard Bible
Each one should test his own work. Then he will have reason to boast in himself alone, and not in someone else.
Context
2Chukulianeni mizigo ninyi kwa ninyi, nanyi kwa njia hii mtatimiza sheria ya Kristo. 3Kama mtu yeyote akijiona kuwa yeye ni bora na kumbe sivyo, basi mtu huyo anajidanganya mwenyewe. 4Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe, ndipo aweze kujisifu, bila kujilinganisha na mtu mwingine. 5Kwa maana, kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe. 6Basi, yeye afundishwaye katika neno na amshirikishe mwalimu wake mema yote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.