Wagalatia 4:28
Galatians 4:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi, sisi ndugu zangu, ni kama Isaki, tu watoto wa ahadi.
Galatians 4:28 in English
Galatians 4:28 · Berean Standard Bible
Now you,* brothers, like Isaac, are children of promise.
Context
26Lakini Yerusalemu wa juu ni huru, nayo ndiye mama yetu. 27Kwa maana imeandikwa:
“Furahi, ewe mwanamke tasa,
wewe usiyezaa;
paza sauti, na kuimba kwa furaha,
wewe usiyepatwa na utungu wa kuzaa;
kwa maana watoto wa mwanamke aliyeachwa ukiwa ni wengi
kuliko wa mwanamke mwenye mume.” 28Basi, sisi ndugu zangu, ni kama Isaki, tu watoto wa ahadi. 29Lakini, kama vile ilivyokuwa siku zile yule aliyezaliwa kwa mwili alivyomchokoza yule aliyezaliwa kwa Roho, ndivyo ilivyo hata sasa. 30Lakini Maandiko yasemaje? “Mwondoe mwanamke mtumwa pamoja na mwanawe, kwa sababu mwana wa mwanamke mtumwa kamwe hatarithi pamoja na mwana wa aliye huru.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.