Ezra 2:69
Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakatoa kwa kadiri ya uwezo wao na kutia katika hazina darkoni 61,000* za dhahabu, mane 5,000* za fedha, na mavazi 100 ya ukuhani kwa ajili ya kazi hiyo.
Ezra 2:69 in English
Ezra 2:69 · Berean Standard Bible
According to their ability, they gave to the treasury for this work 61,000 darics of gold,* 5,000 minas of silver,* and 100 priestly garments.
Context
67ngamia 435 na punda 6,720. 68Walipofika kwenye nyumba ya Bwana huko Yerusalemu, baadhi ya viongozi wa jamaa walitoa sadaka za hiari kwa ajili ya kujenga upya nyumba ya Mungu katika eneo lake. 69Wakatoa kwa kadiri ya uwezo wao na kutia katika hazina darkoni 61,000* za dhahabu, mane 5,000* za fedha, na mavazi 100 ya ukuhani kwa ajili ya kazi hiyo. 70Makuhani, Walawi, waimbaji, mabawabu, na watumishi wa Hekalu waliishi katika miji yao wenyewe, pamoja na baadhi ya watu wengine, nao Waisraeli waliosalia waliishi katika miji yao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.