Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ngamia 435 na punda 6,720.

Ezra 2:67 in English

Ezra 2:67 · Berean Standard Bible

435 camels, and 6,720 donkeys.

Context

65tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 200. 66Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245, 67ngamia 435 na punda 6,720. 68Walipofika kwenye nyumba ya Bwana huko Yerusalemu, baadhi ya viongozi wa jamaa walitoa sadaka za hiari kwa ajili ya kujenga upya nyumba ya Mungu katika eneo lake. 69Wakatoa kwa kadiri ya uwezo wao na kutia katika hazina darkoni 61,000* za dhahabu, mane 5,000* za fedha, na mavazi 100 ya ukuhani kwa ajili ya kazi hiyo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.