Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 200.

Ezra 2:65 in English

Ezra 2:65 · Berean Standard Bible

in addition to their 7,337 menservants and maidservants, as well as their 200 male and female singers.

Context

63Mtawala aliagiza kuwa wasile chochote miongoni mwa vyakula vitakatifu hadi kuwe kuhani atakayehudumu kwa Urimu na Thumimu.* 64Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360; 65tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 200. 66Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245, 67ngamia 435 na punda 6,720.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.