Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360;

Ezra 2:64 in English

Ezra 2:64 · Berean Standard Bible

The whole assembly numbered 42,360,

Context

62Hawa walitafuta orodha za jamaa zao, lakini hawakuonekana humo, kwa hiyo waliondolewa kutoka kundi la makuhani kwa kuwa walihesabiwa kuwa najisi. 63Mtawala aliagiza kuwa wasile chochote miongoni mwa vyakula vitakatifu hadi kuwe kuhani atakayehudumu kwa Urimu na Thumimu.* 64Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360; 65tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 200. 66Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.