Ezra 1:10
Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
mabakuli ya dhahabu yalikuwa 30 mabakuli ya fedha yanayofanana yalikuwa 410 vifaa vingine vilikuwa 1,000.
Ezra 1:10 in English
Ezra 1:10 · Berean Standard Bible
30 gold bowls, 410 matching silver bowls, and 1,000 other articles.
Context
8Koreshi mfalme wa Uajemi akavitoa kwa mkono wa Mithredathi mtunza hazina, aliyevihesabu mbele ya Sheshbaza mkuu wa Yuda. 9Hii ilikuwa ndio orodha ya vifaa:
masinia ya dhahabu yalikuwa 30
masinia ya fedha yalikuwa 1,000
vyetezo vya fedha vilikuwa 29 10mabakuli ya dhahabu yalikuwa 30
mabakuli ya fedha yanayofanana yalikuwa 410
vifaa vingine vilikuwa 1,000. 11Kwa ujumla, kulikuwa na vyombo 5,400 vya dhahabu na vya fedha. Sheshbaza akavileta hivi vyote wakati watu walipotoka uhamishoni Babeli kwenda Yerusalemu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.