Ezra 1:9
Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hii ilikuwa ndio orodha ya vifaa: masinia ya dhahabu yalikuwa 30 masinia ya fedha yalikuwa 1,000 vyetezo vya fedha vilikuwa 29
Ezra 1:9 in English
Ezra 1:9 · Berean Standard Bible
This was the inventory: 30 gold dishes,* 1,000 silver dishes, 29 silver utensils,
Context
7Zaidi ya hayo, Mfalme Koreshi akavitoa vyombo vilivyokuwa mali ya Hekalu la Bwana, ambavyo Nebukadneza alikuwa amevichukua kutoka Yerusalemu na kuviweka katika hekalu la mungu wake. 8Koreshi mfalme wa Uajemi akavitoa kwa mkono wa Mithredathi mtunza hazina, aliyevihesabu mbele ya Sheshbaza mkuu wa Yuda. 9Hii ilikuwa ndio orodha ya vifaa:
masinia ya dhahabu yalikuwa 30
masinia ya fedha yalikuwa 1,000
vyetezo vya fedha vilikuwa 29 10mabakuli ya dhahabu yalikuwa 30
mabakuli ya fedha yanayofanana yalikuwa 410
vifaa vingine vilikuwa 1,000. 11Kwa ujumla, kulikuwa na vyombo 5,400 vya dhahabu na vya fedha. Sheshbaza akavileta hivi vyote wakati watu walipotoka uhamishoni Babeli kwenda Yerusalemu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.