Native Bible

Ezekiel 47:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akaniambia, “Haya maji yanatiririka kuelekea nchi ya mashariki na kushuka mpaka Araba,* ambapo huingia Baharini. Yanapomwagikia kwenye hiyo Bahari,* maji yaliyoko humo huponywa na kuwa safi.

Ezekiel 47:8 in English

Ezekiel 47:8 · Berean Standard Bible

And he said to me, “This water flows out to the eastern region and goes down into the Arabah. When it empties into the Sea,* the water there becomes fresh.*

Context

6Akaniuliza, “Je, mwanadamu, unaona hili?” Kisha akanirudisha mpaka kwenye ukingo wa huo mto. 7Nilipofika pale, nikaona idadi kubwa ya miti kila upande wa ule mto. 8Akaniambia, “Haya maji yanatiririka kuelekea nchi ya mashariki na kushuka mpaka Araba,* ambapo huingia Baharini. Yanapomwagikia kwenye hiyo Bahari,* maji yaliyoko humo huponywa na kuwa safi. 9Popote mto huu uendapo kila kiumbe hai kinachoyaparamia hayo maji kitaishi, nako kutakuwa na samaki wengi mno, mara maji haya yafikapo huko. Maji hayo yatakuwa hai na kila kitu kitakachoishi kule mto uendako. 10Wavuvi watasimama kando ya bahari, kuanzia En-Gedi hadi En-Eglaimu huko patakuwa mahali pa kutandaza nyavu za kuvulia samaki. Samaki watakuwa wa aina nyingi, kama samaki wa Bahari Kuu*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.