Native Bible

Ezekiel 30:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mwanadamu, toa unabii na useme: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: “ ‘Ombolezeni ninyi na mseme, “Ole wa siku ile!”

Ezekiel 30:2 in English

Ezekiel 30:2 · Berean Standard Bible

“Son of man, prophesy and declare that this is what the Lord GOD says: Wail, ‘Alas for that day!’

Context

1Neno la Bwana likanijia kusema: 2“Mwanadamu, toa unabii na useme: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: “ ‘Ombolezeni ninyi na mseme, “Ole wa siku ile!” 3Kwa kuwa siku ile imekaribia, siku ya Bwana imekaribia, siku ya mawingu, siku ya maangamizi kwa mataifa. 4Upanga utakuja dhidi ya Misri, nayo maumivu makuu yataijia Ethiopia. Mauaji yatakapoangukia Misri, utajiri wake utachukuliwa na misingi yake itabomolewa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.