Ezekieli 3:2
Ezekiel 3:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo nikafungua kinywa changu, naye akanilisha ule ukurasa wa kitabu.
Ezekiel 3:2 in English
Ezekiel 3:2 · Berean Standard Bible
So I opened my mouth, and He fed me the scroll.
Context
1Naye akaniambia, “Mwanadamu, kula kile kilichoko mbele yako, kula huu ukurasa wa kitabu, kisha uende ukaseme na nyumba ya Israeli.” 2Ndipo nikafungua kinywa changu, naye akanilisha ule ukurasa wa kitabu. 3Ndipo akaniambia, “Mwanadamu, kula ukurasa huu wa kitabu ninaokupa ujaze tumbo lako.” Kwa hiyo nikaula, ulikuwa mtamu kama asali kinywani mwangu. 4Kisha akaniambia, “Mwanadamu, sasa nenda katika nyumba ya Israeli ukaseme nao maneno yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.