Native Bible

Ezekiel 28:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mataifa yote yaliyokujua yanakustajabia; umefikia mwisho wa kutisha na hutakuwepo tena milele.’ ”

Ezekiel 28:19 in English

Ezekiel 28:19 · Berean Standard Bible

All the nations who know you are appalled over you. You have come to a horrible end and will be no more.’”

Context

17Moyo wako ukawa na kiburi kwa ajili ya uzuri wako, nawe ukaiharibu hekima yako kwa sababu ya fahari yako. Kwa hiyo nikakutupa chini; nimekufanya kioja mbele ya wafalme. 18Kwa dhambi zako nyingi na biashara yako ya dhuluma, umenajisi mahali pako patakatifu. Kwa hiyo nilifanya moto utoke ndani yako, nao ukakuteketeza, nami nikakufanya majivu juu ya nchi, machoni pa wote waliokuwa wakitazama. 19Mataifa yote yaliyokujua yanakustajabia; umefikia mwisho wa kutisha na hutakuwepo tena milele.’ ” 20Neno la Bwana likanijia kusema: 21“Mwanadamu, elekeza uso wako juu ya Sidoni, ukatabiri dhidi yake,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.