Ezekieli 24:9
Ezekiel 24:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“ ‘Kwa hiyo, hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: “ ‘Ole wa mji umwagao damu! Mimi nami nitalundikia kuni nyingi.
Ezekiel 24:9 in English
Ezekiel 24:9 · Berean Standard Bible
Yes, this is what the Lord GOD says: ‘Woe to the city of bloodshed! I, too, will pile the kindling high.
Context
7“ ‘Kwa kuwa damu aliyoimwaga ipo katikati yake:
huyo mwanamke aliimwaga
juu ya mwamba ulio wazi;
hakuimwaga kwenye ardhi,
ambako vumbi lingeifunika. 8Kuchochea ghadhabu na kulipiza kisasi,
nimemwaga damu yake
juu ya mwamba ulio wazi,
ili isifunikwe. 9“ ‘Kwa hiyo, hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo:
“ ‘Ole wa mji umwagao damu!
Mimi nami nitalundikia kuni nyingi. 10Kwa hiyo lundika kuni
na uwashe moto.
Pika hiyo nyama vizuri,
changanya viungo ndani yake,
na uiache mifupa iungue kwenye moto. 11Kisha teleka sufuria tupu kwenye makaa
mpaka iwe na moto sana na shaba yake ingʼae,
ili uchafu wake upate kuyeyuka
na ukoko wake upate kuungua na kuondoka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.