Ezekieli 23:33
Ezekiel 23:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Utalewa ulevi na kujawa huzuni, kikombe cha maangamizo na ukiwa, kikombe cha dada yako Samaria.
Ezekiel 23:33 in English
Ezekiel 23:33 · Berean Standard Bible
You will be filled with drunkenness and grief, with a cup of devastation and desolation, the cup of your sister Samaria.
Context
31Umeiendea njia ya dada yako, hivyo nitakitia kikombe chake mkononi mwako. 32“Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo:
“Utakinywea kikombe cha dada yako,
kikombe kikubwa na chenye kina kirefu;
nitaletea juu yako dharau na dhihaka,
kwa kuwa kimejaa sana. 33Utalewa ulevi na kujawa huzuni,
kikombe cha maangamizo na ukiwa,
kikombe cha dada yako Samaria. 34Utakinywa chote na kukimaliza;
utakivunja vipande vipande
na kuyararua matiti yako.
Nimenena haya, asema Bwana Mwenyezi. 35“Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Kwa kuwa tangu uliponisahau mimi na kunitupa nyuma yako, lazima ubebe matokeo ya uasherati wako na ukahaba wako.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.