Ezekieli 23:14
Ezekiel 23:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Lakini yeye akazidisha ukahaba wake. Akaona wanaume waliochorwa ukutani, picha za Wakaldayo* waliovalia nguo nyekundu,
Ezekiel 23:14 in English
Ezekiel 23:14 · Berean Standard Bible
But Oholibah carried her prostitution even further. She saw the men portrayed on the wall, images of the Chaldeans,* engraved in vermilion,
Context
12Yeye naye aliwatamani Waashuru, watawala na majemadari, mashujaa waliovalia sare, wapandao farasi, wanaume vijana wote waliovutia. 13Nikaona kuwa yeye pia alijinajisi, wote wawili wakaelekea njia moja. 14“Lakini yeye akazidisha ukahaba wake. Akaona wanaume waliochorwa ukutani, picha za Wakaldayo* waliovalia nguo nyekundu, 15wakiwa na mikanda viunoni mwao na vilemba vichwani mwao, wote walifanana na maafisa wa Babeli wapandao magari ya vita, wenyeji wa Ukaldayo.* 16Mara tu alipowaona, aliwatamani, akatuma wajumbe kwao huko Ukaldayo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.