Ezekieli 19:2
Ezekiel 19:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na useme: “ ‘Tazama jinsi gani mama yako alivyokuwa simba jike miongoni mwa simba! Alilala katikati ya wana simba na kulisha watoto wake.
Ezekiel 19:2 in English
Ezekiel 19:2 · Berean Standard Bible
and say: ‘What was your mother? A lioness among the lions! She lay down among the young lions; she reared her cubs.
Context
1“Wewe fanya maombolezo kuhusu wakuu wa Israeli 2na useme:
“ ‘Tazama jinsi gani mama yako alivyokuwa simba jike
miongoni mwa simba!
Alilala katikati ya wana simba
na kulisha watoto wake. 3Alimlea mmoja wa watoto wake,
naye akawa simba mwenye nguvu.
Akajifunza kurarua mawindo
naye akala watu. 4Mataifa wakasikia habari zake,
naye akanaswa katika shimo lao.
Wakamwongoza kwa ndoana
mpaka nchi ya Misri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.