Native Bible

Ezekiel 19:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Wewe fanya maombolezo kuhusu wakuu wa Israeli

Ezekiel 19:1 in English

Ezekiel 19:1 · Berean Standard Bible

“As for you, take up a lament for the princes of Israel

Context

1“Wewe fanya maombolezo kuhusu wakuu wa Israeli 2na useme: “ ‘Tazama jinsi gani mama yako alivyokuwa simba jike miongoni mwa simba! Alilala katikati ya wana simba na kulisha watoto wake. 3Alimlea mmoja wa watoto wake, naye akawa simba mwenye nguvu. Akajifunza kurarua mawindo naye akala watu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.