Native Bible

Ezekiel 18:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Aweza kuwa ana mwana jeuri, amwagaye damu au atendaye mojawapo ya mambo haya

Ezekiel 18:10 in English

Ezekiel 18:10 · Berean Standard Bible

Now suppose that man has a violent son, who sheds blood or does any of these things,

Context

8Hakopeshi kwa riba wala hajipatii faida ya ziada. Huuzuia mkono wake usifanye mabaya, naye huhukumu kwa haki kati ya mtu na mtu. 9Huzifuata amri zangu na kuzishika sheria zangu kwa uaminifu. Huyo mtu ni mwenye haki; hakika ataishi, asema Bwana Mwenyezi. 10“Aweza kuwa ana mwana jeuri, amwagaye damu au atendaye mojawapo ya mambo haya 11(ingawa baba yake hakufanya mojawapo ya haya): “Hula katika mahali pa ibada za miungu kwenye milima. Humtia unajisi mke wa jirani yake. 12Huwaonea maskini na wahitaji. Hunyangʼanyana. Harudishi kile kilichowekwa rehani kwake. Huziinulia sanamu macho. Hufanya mambo ya machukizo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.