Ezekieli 16:58
Ezekiel 16:58 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Utachukua matokeo ya uasherati wako na matendo yako ya kuchukiza, asema Bwana.
Ezekiel 16:58 in English
Ezekiel 16:58 · Berean Standard Bible
You will bear the consequences of your lewdness and your abominations, declares the LORD.
Context
56Hukuweza hata kumtaja dada yako Sodoma kwa sababu ya dharau yako katika siku za kiburi chako, 57kabla uovu wako haujafunuliwa. Hata hivyo, sasa unadhihakiwa na binti za Edomu na jirani zake wote, na binti za Wafilisti, wale wote wanaokuzunguka wanakudharau. 58Utachukua matokeo ya uasherati wako na matendo yako ya kuchukiza, asema Bwana. 59“ ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Nitakushughulikia kama unavyostahili, kwa kuwa umedharau kiapo changu kwa kuvunja Agano. 60Lakini nitakumbuka Agano nililolifanya nawe wakati wa ujana wako, nami nitaweka nawe Agano imara la milele.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.