Native Bible

Ezekiel 16:60 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini nitakumbuka Agano nililolifanya nawe wakati wa ujana wako, nami nitaweka nawe Agano imara la milele.

Ezekiel 16:60 in English

Ezekiel 16:60 · Berean Standard Bible

But I will remember the covenant I made with you in the days of your youth, and I will establish an everlasting covenant with you.

Context

58Utachukua matokeo ya uasherati wako na matendo yako ya kuchukiza, asema Bwana. 59“ ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Nitakushughulikia kama unavyostahili, kwa kuwa umedharau kiapo changu kwa kuvunja Agano. 60Lakini nitakumbuka Agano nililolifanya nawe wakati wa ujana wako, nami nitaweka nawe Agano imara la milele. 61Ndipo utakapozikumbuka njia zako na kuona aibu utakapowapokea dada zako, wale walio wakubwa wako na wadogo wako. Nitakupa hao wawe binti zako, lakini si katika msingi wa Agano langu na wewe. 62Hivyo nitalifanya imara Agano langu na wewe, nawe utajua kuwa Mimi ndimi Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.