Native Bible

Ezekiel 14:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baadhi ya wazee wa Israeli walinijia na kuketi mbele yangu.

Ezekiel 14:1 in English

Ezekiel 14:1 · Berean Standard Bible

Then some of the elders of Israel came and sat down before me.

Context

1Baadhi ya wazee wa Israeli walinijia na kuketi mbele yangu. 2Ndipo neno la Bwana likanijia kusema: 3“Mwanadamu, watu hawa wameweka sanamu katika mioyo yao na kuweka vitu viovu vya kukwaza mbele ya macho yao. Je, kweli niwaruhusu waniulize jambo lolote?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.