Ezekieli 11:4
Ezekiel 11:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hiyo toa unabii dhidi yao, tabiri, Ewe mwanadamu.”
Ezekiel 11:4 in English
Ezekiel 11:4 · Berean Standard Bible
Therefore prophesy against them; prophesy, O son of man!”
Context
2Bwana akaniambia, “Mwanadamu, hawa ndio wafanyao hila na kutoa mashauri potovu katika mji huu. 3Wao husema, ‘Je, hivi karibuni hautakuwa wakati wa kujenga nyumba? Mji huu ni chungu cha kupikia, nasi ndio nyama.’ 4Kwa hiyo toa unabii dhidi yao, tabiri, Ewe mwanadamu.” 5Kisha Roho wa Bwana akaja juu yangu, naye akaniambia niseme: “Hili ndilo Bwana asemalo: Hili ndilo ninyi mnalosema, ee nyumba ya Israeli, lakini ninajua mnalowaza mioyoni mwenu. 6Mmewaua watu wengi katika mji huu na kujaza barabara zake maiti.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.