Ezekieli 11:6
Ezekiel 11:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mmewaua watu wengi katika mji huu na kujaza barabara zake maiti.
Ezekiel 11:6 in English
Ezekiel 11:6 · Berean Standard Bible
You have multiplied those you killed in this city and filled its streets with the dead.
Context
4Kwa hiyo toa unabii dhidi yao, tabiri, Ewe mwanadamu.” 5Kisha Roho wa Bwana akaja juu yangu, naye akaniambia niseme: “Hili ndilo Bwana asemalo: Hili ndilo ninyi mnalosema, ee nyumba ya Israeli, lakini ninajua mnalowaza mioyoni mwenu. 6Mmewaua watu wengi katika mji huu na kujaza barabara zake maiti. 7“Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi: maiti ulizozitupa huko ni nyama na mji huu ni chungu, lakini nitawaondoa mtoke huko. 8Mnaogopa upanga, nao upanga huo ndio nitakaouleta juu yenu, asema Bwana Mwenyezi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.