Ezekieli 11:25
Ezekiel 11:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
nami nikawaeleza wale watu wa uhamisho kila kitu Bwana alichokuwa amenionyesha.
Ezekiel 11:25 in English
Ezekiel 11:25 · Berean Standard Bible
I told the exiles everything the LORD had shown me.
Context
23Basi utukufu wa Bwana ukapaa juu kutoka mji, ukatua juu ya mlima ulio upande wa mashariki ya mji. 24Roho akaniinua na kunileta mpaka kwa watu wa uhamisho huko Ukaldayo nikiwa katika yale maono niliyopewa na Roho wa Mungu.
Ndipo maono niliyokuwa nimeyaona yakanitoka, 25nami nikawaeleza wale watu wa uhamisho kila kitu Bwana alichokuwa amenionyesha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.