Ezekieli 11:23
Ezekiel 11:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi utukufu wa Bwana ukapaa juu kutoka mji, ukatua juu ya mlima ulio upande wa mashariki ya mji.
Ezekiel 11:23 in English
Ezekiel 11:23 · Berean Standard Bible
And the glory of the LORD rose up from within the city and stood over the mountain east of the city.
Context
21Lakini kwa wale ambao mioyo yao imeambatana na vinyago vyao vya upotovu na sanamu zao za machukizo, nitaleta juu ya vichwa vyao yale waliyotenda asema Bwana Mwenyezi.” 22Ndipo wale makerubi, wenye magurudumu pembeni mwao, wakakunjua mabawa yao, nao utukufu wa Mungu wa Israeli ulikuwa juu yao. 23Basi utukufu wa Bwana ukapaa juu kutoka mji, ukatua juu ya mlima ulio upande wa mashariki ya mji. 24Roho akaniinua na kunileta mpaka kwa watu wa uhamisho huko Ukaldayo nikiwa katika yale maono niliyopewa na Roho wa Mungu.
Ndipo maono niliyokuwa nimeyaona yakanitoka, 25nami nikawaeleza wale watu wa uhamisho kila kitu Bwana alichokuwa amenionyesha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.