Ezekieli 11:24
Ezekiel 11:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Roho akaniinua na kunileta mpaka kwa watu wa uhamisho huko Ukaldayo nikiwa katika yale maono niliyopewa na Roho wa Mungu. Ndipo maono niliyokuwa nimeyaona yakanitoka,
Ezekiel 11:24 in English
Ezekiel 11:24 · Berean Standard Bible
And the Spirit lifted me up and carried me back to Chaldea,* to the exiles in the vision given by the Spirit of God. After the vision had gone up from me,
Context
22Ndipo wale makerubi, wenye magurudumu pembeni mwao, wakakunjua mabawa yao, nao utukufu wa Mungu wa Israeli ulikuwa juu yao. 23Basi utukufu wa Bwana ukapaa juu kutoka mji, ukatua juu ya mlima ulio upande wa mashariki ya mji. 24Roho akaniinua na kunileta mpaka kwa watu wa uhamisho huko Ukaldayo nikiwa katika yale maono niliyopewa na Roho wa Mungu.
Ndipo maono niliyokuwa nimeyaona yakanitoka, 25nami nikawaeleza wale watu wa uhamisho kila kitu Bwana alichokuwa amenionyesha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.