Native Bible

Exodus 7:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mose na Aroni wakafanya sawasawa kama vile Bwana alivyowaagiza.

Exodus 7:6 in English

Exodus 7:6 · Berean Standard Bible

So Moses and Aaron did just as the LORD had commanded them.

Context

4hatawasikiliza. Kisha nitaupeleka mkono wangu juu ya Misri, na kwa matendo makuu ya hukumu nitavitoa vikundi vyangu, watu wangu Waisraeli. 5Nao Wamisri watajua kuwa Mimi ndimi Bwana nitakapounyoosha mkono wangu dhidi ya Misri na kuwatoa Waisraeli watoke humo.” 6Mose na Aroni wakafanya sawasawa kama vile Bwana alivyowaagiza. 7Mose alikuwa na umri wa miaka themanini na Aroni alikuwa na umri wa miaka themanini na mitatu walipozungumza na Farao. 8Bwana akamwambia Mose na Aroni,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.