Native Bible

Exodus 6:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Pia Mungu akamwambia Mose, “Mimi ndimi Bwana.

Exodus 6:2 in English

Exodus 6:2 · Berean Standard Bible

God also told Moses, “I am the LORD.

Context

1Kisha Bwana akamwambia Mose, “Sasa utaona kitu nitakachomfanyia Farao: Kwa sababu ya mkono wangu wenye nguvu atawaachia watu waende; kwa sababu ya mkono wangu wenye nguvu atawafukuza waondoke nchini mwake.” 2Pia Mungu akamwambia Mose, “Mimi ndimi Bwana. 3Nilimtokea Abrahamu, Isaki na Yakobo kama Mungu Mwenyezi,* ingawa sikuwajulisha Jina langu, Yehova, Mimi mwenyewe sikujitambulisha kwao. 4Pia niliweka Agano langu nao kuwapa nchi ya Kanaani, ambako waliishi kama wageni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.