Kutoka 40:16
Exodus 40:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mose akafanya kila kitu sawa kama vile Bwana alivyomwagiza.
Exodus 40:16 in English
Exodus 40:16 · Berean Standard Bible
Moses did everything just as the LORD had commanded him.
Context
14Walete wanawe na uwavike makoti. 15Kisha watie mafuta kama ulivyomtia baba yao, ili nao pia wanitumikie katika kazi ya ukuhani. Kutiwa mafuta kwao kutakuwa kwa ajili ya ukuhani utakaoendelea kwa vizazi vyote vijavyo.” 16Mose akafanya kila kitu sawa kama vile Bwana alivyomwagiza. 17Kwa hiyo Maskani ya Mungu ilisimikwa katika siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza, katika mwaka wa pili. 18Mose alipoweka wakfu Maskani ya Mungu, aliweka vitako mahali pake, akasimamisha mihimili, akatia mataruma na kusimamisha nguzo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.