Kutoka 40:14
Exodus 40:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walete wanawe na uwavike makoti.
Exodus 40:14 in English
Exodus 40:14 · Berean Standard Bible
Bring his sons forward and clothe them with tunics.
Context
12“Mlete Aroni na wanawe kwenye ingilio la Hema la Kukutania na uwaoshe kwa maji. 13Kisha mvike Aroni yale mavazi matakatifu, umtie mafuta na kumweka wakfu ili apate kunitumikia katikati ya ukuhani. 14Walete wanawe na uwavike makoti. 15Kisha watie mafuta kama ulivyomtia baba yao, ili nao pia wanitumikie katika kazi ya ukuhani. Kutiwa mafuta kwao kutakuwa kwa ajili ya ukuhani utakaoendelea kwa vizazi vyote vijavyo.” 16Mose akafanya kila kitu sawa kama vile Bwana alivyomwagiza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.