Kutoka 40:13
Exodus 40:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha mvike Aroni yale mavazi matakatifu, umtie mafuta na kumweka wakfu ili apate kunitumikia katikati ya ukuhani.
Exodus 40:13 in English
Exodus 40:13 · Berean Standard Bible
And you are to clothe Aaron with the holy garments, anoint him, and consecrate him, so that he may serve Me as a priest.
Context
11Paka sinia mafuta pamoja na kishikilio chake na uviweke wakfu. 12“Mlete Aroni na wanawe kwenye ingilio la Hema la Kukutania na uwaoshe kwa maji. 13Kisha mvike Aroni yale mavazi matakatifu, umtie mafuta na kumweka wakfu ili apate kunitumikia katikati ya ukuhani. 14Walete wanawe na uwavike makoti. 15Kisha watie mafuta kama ulivyomtia baba yao, ili nao pia wanitumikie katika kazi ya ukuhani. Kutiwa mafuta kwao kutakuwa kwa ajili ya ukuhani utakaoendelea kwa vizazi vyote vijavyo.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.